Christian Devotion

PIA YAPO MASHIRIKA MBALI MBALI  PAROKIANI TEULE MT.  KONICA LANGONI
  • Haya ni makundi mbalimbali ya waamini wanaojiunga pamoja katika sala na utume kwa nia ya kueneza, kuishi na kuendeleza karama ya somo wao. 
  • Tunahimizwa sana tupende kujiunga na mashirika haya kama hatua muhimu ya kujikomaza katika Ukristo wetu na kuchochea  karama zetu. 
  • Mashirika ya kitume ni alama ya uhai wa Kanisa mahalia hivyo waamini wanahimizwa kutumia fursa hiyo katika kuonyesha na kushirikisha talanta zao kwa kujiunga na mashirika mbali mbali ya kitume hapa Parokiani teule Mt. Monica Langoni . 
Mashirka ya kitume hapa Parokia teule ya Mt. Monica yana siku na saa maalumu za kukutana na kushirikishana tunu za kanisa (Sala) na kuendeleza karama za somo wao kama ifuatavyo Siku
 

 Pia Mashirika haya ya kitume hukutana Jumapili moja ya kila mwezi katika kumwadhimisha somo wao kwa Ibada na sala kama ifuatavyo.