Utawala

Parokia Teule ya Mt. Monica Langoni inaundwa na Uongozi makini wa kamati Tendaji wenye weledi na ufahamu mkubwa kuhusu mambo ya kanisa na maendeleo ya kijamii chini ya Padre kiongozi Pd. Beatus Vumilia Na Msaidizi wake Pd. Wilhelm Malasi, Pd. Leonald Halinga, pamoja na, Sr. Regina Sangu na Sr. Monica Sungura kwa kushirikiana na Waamini walei wa Parokia teule ya Mt. Monica Langoni.

VIONGOZI WANAOUNDA KAMATI TENDAJI YA PAROKIA 
  1. Ndg. Severini Swai - M/Kiti
  2. Ndg. Genes Kimario - Makamu M/Kiti
  3. Ndg. Francis Kessy - Katibu
  4. Ndg. Peter Kiria - Katibu Msaidizi
  5. Bi. Theodora Momburi - Muhazini
  6. Ndg. Albin Moshi - Mratibu JNNK
Kamati hii kwa kushirikiana na Padre mlezi inaendeshwa kwa kauli mbiu inayosema Tumejaribu, Tumeweza na Tunasonga mbele, "KRISTU TUMAINI LETU UTUONGOZE" kauli mbiu ambayo imekuwa ndio chachu ya mafaniko yote yaliyopo na yatayokuja hapa parokiani kwetu.